HUDUMA YA MACHO (EYE CAMP)
Hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre (DCMC) kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa bobezi kutoka Marekani watakuwa na kambi ya uchunguzi na upasuaji wa Magonjwa ya Macho 02-06 Februari 2025HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA Uchunguzi wa Magonjwa ya Macho Upasuaji Mtoto wa...