Flat Preloader Icon

PLASTIC SURGERY (HUDUMA YA UPASUAJI)

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre (DCMC) na Madaktari Bingwa bobezi wa upasuaji kutoka Ujerumani (Plastic Surgery) watakuwa na kambi ya upasuaji bila malipo.

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA

  1. Makovu ya kuungua moto na ajali (Contractures)
  2. Kidole ziada (Extra digits)
  3. Mguu Kifundo (Club Foot)
  4. Midomo Sungura (Cleft lip/palate)
  5. Vivimbe mbalimbali (Cyst and lipomas)

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA

  1. Makovu ya kuungua moto na ajali (Contractures)
  2. Kidole ziada (Extra digits)
  3. Mguu Kifundo (Club Foot)
  4. Midomo Sungura (Cleft lip/palate)
  5. Vivimbe mbalimbali (Cyst and lipomas)

HUDUMA HIZI HAZITAKUWA NA MALIPO YOYOTE  kuanzia Septemba 09-20, 2024

RECENT POSTS