Flat Preloader Icon

HUDUMA YA MACHO (EYE CAMP)

Hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre (DCMC) kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa bobezi kutoka Marekani watakuwa na kambi ya uchunguzi na upasuaji wa Magonjwa ya Macho 02-06 Februari 2025

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA

  1. Uchunguzi wa Magonjwa ya Macho
  2. Upasuaji Mtoto wa Jicho
  3. Huduma ya Miwani ya kusomea

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA

  1. Dr. Francisco Msonge +255 684 645 712
  2. DCMCT Hospital Number +255 629 999 992
  3. Dr. Yohana Masonda +255 752 237 966

“HUDUMA HIZI HAZITAKUWA NA MALIPO YOYOTE”

RECENT POSTS

PLASTIC SURGERY (HUDUMA YA UPASUAJI)

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre (DCMC) na Madaktari Bingwa bobezi wa upasuaji kutoka Ujerumani (Plastic Surgery) watakuwa na kambi ya upasuaji bila malipo.HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA Makovu ya kuungua moto na...

read more