Flat Preloader Icon
HUDUMA YA MACHO (EYE CAMP)

HUDUMA YA MACHO (EYE CAMP)

Hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre (DCMC) kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa bobezi kutoka Marekani watakuwa na kambi ya uchunguzi na upasuaji wa Magonjwa ya Macho 02-06 Februari 2025 HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA Uchunguzi wa Magonjwa ya Macho Upasuaji Mtoto wa...
PLASTIC SURGERY (HUDUMA YA UPASUAJI)

PLASTIC SURGERY (HUDUMA YA UPASUAJI)

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre (DCMC) na Madaktari Bingwa bobezi wa upasuaji kutoka Ujerumani (Plastic Surgery) watakuwa na kambi ya upasuaji bila malipo. HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA Makovu ya kuungua moto na...